Raila Odinga aeleza kwa nini anashinikiza serikali ya Kenya ichukue hatua

VOA Swahili
VOA Swahili
Published on 17.03.2023

Raila Odinga: "Sisi hatuvunji sheria, sisi kama wana Azimio tumesema tutafuata maadili, kanuni za sheria na katiba yetu, ili haki yetu itimizwe, na haki yetu inaonyesha ya kwamba sisi ndiyo tulishinda uchaguzi". Ungana na mwandishi wetu Hubbah Abdi Nairobi, Kenya akikuletea mahojiano yanayo onyesha sababu zinazopelekea upinzani kuishinikiza serikali ya William Ruto ichukue hatua.


#railaodinga #kenya #uchaguzi #williamruto #katiba #wiziwakura

- - - - -
#VOASwahili

Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

Runtime 00:05:43

VOA, VOA Swahili, Voice of America, Africa, Kenya, Tanzania, Uganda, Burundi, Rwanda, DRC, Democratic Republic of Congo, Duniani Leo, Kiswahili, Matukio ya dunia,

COMMENTS: 494
Recommended Videos
For advertisers
place for your advertisement.